• Home/Start
  • Portfolio
  • Service
  • Your Advantage
  • About us
  • Contact
  • Impressum
    •  English
    •  Swahili
    •  German
inakuunganisha na huduma za daraja
la kwanza katika nyanja za ugavi,
usafirishaji na huduma za kifedha kati ya mabara.
Tunajenga muunganiko thabiti
na msingi imara
kati ya washirika wetu wa Ulaya na Afrika.
Uongozi mahiri na kikosi kazi chetu cha
kuaminika vinatoa fursa nyingi kwa mafanikio
ya wateja wetu.
javascript carousel

Jina letu linasimama katika utoaji huduma shirikishi nchini Ujerumani. Tunawapa wateja wetu huduma za kutegemewa
na ushirikiano wa kuaminika, ubora wa hali ya juu wa bidhaa na huduma, bei nafuu, pia njia za haraka na salama zenye mbadala wa kufikisha bidhaa kwa wateja wetu.


Utoaji huduma

Watoa huduma wanafahamika kwa kusimamia ubora na bei nafuu.


Upokeaji/Usambazaji

Uzoefu wetu kwa ushirikiano na washirika wetu vinakuhakikishia utendaji wenye taratibu zilizohakikiwa.


Huduma za kifedha

Benki yetu na washirika wa Benki yako tunasimama kwenye dhana binafsi ya kifedha, inayo simamiwa na kuratibiwa na sisi wenyewe.


Huduma kwa wateja

Kuwahudumia na kuwasaidia wateja wetu ndiyo kipaumbele chetu cha juu.


Udhibiti wa Ubora

Kwa kupitia taratibu zetu bora za ndani, tunalinda salama utumaji na upokeaji sahihi wa mizingo hadi mwisho wa safari.



Kwa Wakati na Kwa Mpangilio

Kuoainisha ratiba yetu ya tarehe ya kutuma na kupokea mizigo ni kipaumbele chetu cha juu.


Ukaguzi na udhibiti kabla ya usafirishaji

Taratibu zetu za ndani zinatumika kwa ukaguzi katika kupeleka na kupokea mizigo.


Utambuzi

Namna sahihi ya utambuzi na utiaji nembo kwa usambazaji hadi mahali husika vinatumika na kuwezesha usafirishaji sahihi.


Uthibitisho

Tunafanya kazi kwa kutumia viwango vya kimataifa DIN ISO 9001, na kwa sasa tuko katika hatua za mwisho za ukaguzi. Hivyo, tunakuhakikishia utekelezaji sawia wa miradi.

http://www.eratrade.de

info@eratrade.de


> Home/Start

> Portfolio

> Service

> Your Advantage

 

> About us

> Contact

> Impressum

> Sitemap

All rights reserved
© 2017 by ERAtrade.de
Webdesign © by scorpio