- OUR SERVICES -

Huduma za Kifedha

Tumebobea katika usimamizi wa huduma za kifedha. Tunatoa na kupata suluhu zenye manufaa kwa pande zote.


Usambazaji

Tuna tafuta njia bora za kufikisha bidhaa kwako. Hii inaweza kuwa moja kwa moja, kutuma sehemu moja ya mzigo au usafirishaji wa shehena kubwa.


USIMAMIZI WA MCHAKATO

Inapo hitajika, tunaratibu mchako wote wa uzalishaji na kutoa taarifa za mara kwa mara kwa njia ya barua pepe.

Tunatoa huduma zenye thamani ya hali ya juu za ugavi, usafirishaji, na kifedha.
UWEZESHAJI WA BIASHARA

Ufundi na ushauri wa kibiashara

Tunaweza kukupa bidhaa zenye ubora wa hali ya juu. Uzoefu wetu na uhandisi vina tuweka katika ngazi sawa na washirika wetu mahiri. Yote haya ni kwa faida yako na ndipo tunasimama tofauti na washindani wetu.

MCHAKATO WA MABORESHO

Uzoefu wetu na taratibu za utendaji kazi ndio vinatufanya kuwa bora. Mara kwa mara tunajifunza na tunaendelea kuboresha. Hivyo, Tunafanya kazi kwa kuchanganua na kwa njia ya mpangilio na tunaangazia utendaji wa washirika wetu.

UTHIBITISHO 9001

Kampuni yetu inafanya kazi kwa viwango vya kimataifa DIN ISO 9001. Kwa sasa tuko kwenye hatua za mwisho za ukaguzi kamili.

Muundo wa kampuni

Kampuni yetu ni ya asili ya kijerumani. Hivyo, tunajipambanua kwa asili yetu ya kimtazamo na wepesi wa kutenda haraka. Tabia za kiutamaduni na kikanda pia huzingatiwa wakati wote.

All rights reserved
© 2017 by ERAtrade.de
Webdesign © by scorpio