• Home/Start
  • Portfolio
  • Service
  • Your Advantage
  • About us
  • Contact
  • Impressum
    •  English
    •  Swahili
    •  German
- Kuhusu sisi -
GmbH ilianzishwa Ujerumani na ina taarifa pana za biashara na wateja ndani ya Afrika. Makao makuu ya ofisi zetu yapo eneo la viwanda Kusini mwa Ujerumani. Ofisi zetu za Afrika zipo Dar es Salaam, Tanzania. Kwa kutumia uzoefu wetu na uhusiano tulioupata kwa miaka mingi, tunakuhakikishia kuwa sisi ni kati ya wasambazaji bidhaa wa hali ya juu kabisa. Tunaheshimu malengo ya wateja wetu na kila mara tunajitahidi kufafuta suluhisho bora zaidi. Mafanikio yetu yanalenga kizazi kipya cha mawasiliano binafsi, maadili na juhudi binafsi.

Bildle

ERAtrade's
headquarters Horb on the river Neckar
(Germany)





Uwajibikaji

Kauli mbiu yetu - ni kujenga uhusiano imara na wa muda mrefu.
Bildle

Ubora kamili
Matumizi ya vipimo vya Mashine za teknolojia





Kuaminika

Kwetu sisi, weledi na usimamizi wa taratibu zinazozingatia Mteja ni muhimu kuliko kitu chochote

Bildle

Ofisi za Tawi la kampuni yetu zipo
Dar es Salaam (Tanzania)





Uthabiti

Malengo yetu ni kuwa na mafanikio tegemeo, ya muda mrefu na ushirika wa uhusiano kibiashara
Bildle
Bildle
Bildle
Bildle
Bildle

http://www.eratrade.de

info@eratrade.de


> Home/Start

> Portfolio

> Service

> Your Advantage

 

> About us

> Contact

> Impressum

> Sitemap

All rights reserved
© 2017 by ERAtrade.de
Webdesign © by scorpio